Latest posts

Search found 6 matches:


admin
Admin

32, male

Posts: 6

FAIDA ZA KARANGA KATIKA MWILI

from admin on 06/12/2016 05:07 PM

Nimewaletea machache kuhusiana na KARANGA,wengi tunachukulia karanga kama kitu cha kawaida na kisicho na maana lakini ukweli ni kwamba karanga zinafaida kubwa katika miili yetu, Zifuatazo ni baadhi ya faida hizo1.Ulainisha misuli ya moyo(cardiac musclep) na hivyo hufanya mapigo ya moyo yaende vizuri 2.Ulainisha viungo(joints) na kuzuia msuguano 3.Huzalisha nishati ya kutosha mwilini.

Reply

admin
Admin

32, male

Posts: 6

FAIDA ZA BAMIA KATIKA MWILI

from admin on 06/12/2016 05:04 PM

Kama ulikuwa hujui basi,pata somo hili hapa. Bamia zina umuhimu mkubwa katika mwili wa binadamu,miongoni mwa faida za bamia ni:- 1.Bamia huongeza nuru ya macho(uwezo wa macho kuona),Hii ni kwa kuwa bamia zina wingi wa vitamin A ambavyo hufanya kazi hiyo. 2.Bamia kwa kiasi kikubwa huzuia vidonda vya tumbo(Gastric Ulcers),kutokana na asili yake ya kambakamba. Hivyo,inashauliwa kula bamia angalau mara 4 kwa mwezi sawa na mara 1 kwa wiki au zaidi na si chini ya hapo.IKUMBUKWE::Kula bamia kupita kiasi inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Nawasilisha.

Reply

admin
Admin

32, male

Posts: 6

Baadhi ya degree programs zinazotolewa UDSM.

from admin on 06/12/2016 05:55 AM

Programme 1: Culture and Heritage (3 years) B.A. in Archaeology B.A. in Heritage Management B.A. in Fine and Performing Arts B.A. in Language Studies B.A. Literature B.A. in History Programme 2: Social Sciences (3 years) B.A. in Economics B.A. in Economics and Statistics B.A. in Geography and Environmental Studies B.A. in Political Science and Public Administration B.A. in Sociology B.A. in Statistics Programme 3: Education (3 years) B.A. with Education SCHOOL OF JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION (SJMC) (3 years) B.A. in Journalism B.A. in Mass Communication B.A. in Public Relations and Advertising UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM BUSINESS SCHOOL (UDBS) B.Com. in Accounting B.Com. in Banking and Financial Services B.Com. in Finance B.Com. in Human Resources Management B.Com. in Marketing B.Com. in Tourism and Hospitality Management Bachelor of Business Administration (BBA) – Evening Programme UDSM SCHOOL OF EDUCATION (UDSE) (3 years) B.Ed. in Adult and Community Education B.Ed. in Commerce B.Ed. in Early

Reply

admin
Admin

32, male

Posts: 6

Degree,Diploma,Certificate programs zinazotolewa MUM.

from admin on 06/12/2016 05:51 AM

Muslim University of Morogoro offers the following degree programmes:- 1. Bachelor of Arts (Education) 2. Bachelor of Languages and Interpretation 3. Bachelor of Arts (Mass Communication) 4. Bachelor of Islamic Studies with Education 5. Bachelor of Science with Education 6. Bachelor of Business Studies 7. Bachelor of Laws with Shariah Also the University offers Diploma and Certificate programmes. Currently the programmes offered are:- 1. Diploma & Certificate in SCience and Laboratory Technology 2. Diploma & Certificate in Journalism 3. Diploma & Certificate in Islamic Banking an Finance 4. Diploma & Certificate in procurement & Logistics Management 5. Diploma & Certificate in Law & Shariah 6. Diploma & Certificate in Accounting 7. Certificate in Chinese Language 8. Certificate in Sign Language 9. Certificate in Arabic Language

Reply

admin
Admin

32, male

Posts: 6

Re: Baadhi ya degree programs zinazotolewa SUA

from admin on 06/12/2016 01:26 AM

Add more!

Reply

admin
Admin

32, male

Posts: 6

Baadhi ya degree programs zinazotolewa SUA

from admin on 06/12/2016 01:24 AM

1.Bsc.Ed (Biology & Geography),(Biology & Chemistry)... 2.BVM 3.Bsc.

Reply

« Back to previous page